HOTUBA YA GAVANA WA TURKANA MASHUJAA DAY 2018

It appears you do not have PDF support in this web browser. Click here to download the document.

Publisher Council of Governors (CoG)
Year of Publication 2018
Category
County Turkana
Description

Wakenya Wenzangu,Leo ni heshima kuu kwangu kujiunga nanyi na wakenya wengine nchini kuadhimisha sherehe za siku kuu ya mwaka wa tisa ya Mashujaa; siku ya kuwaheshimu mashujaa wetu waliochangia katika ujenzi wa taifa hili tukufu. Page 1 of 30Tumekusanyika hapa kukumbuka kujitoa mhanga kwa wake na wanaume; kutoka kudhihirisha uzalendo kwa kupigania uhuru kulikomboa taifa hili kutokaminyororo ya wakoloni na kuitisha utawala, hadi kwa wazalendo walioongozaharakati za kuleta demokrasia miaka ya tisini ambayo ilileta mabadiliko ya kisiasa na kusababisha kuidhinishwa kwa Katiba mpya mwezi Agosti mwaka wa2010.Kwetu sisi na mashujaa hao, sherehe za kuadhimisha siku kuu ya Mashujaa, nijukumu letu la kitaifa. Ni desturi ambayo twapaswa kuwakabidhi vizazi hadivizazi, kwamba kamwe Wakenya hawapaswi kusahau kuwa katika kipindi kigumu cha histroria ya taifa letu, waume kwa wake wajasiri walisimama kidetewalipohitajika kuonyeha msimamo wao.Hebu maisha ya Mashujaa hawa yaendelee kuwapa motisha kizazi cha sasa navizazi vijavyo kama ukumbusho kuwa sote tunawajibikia nchi hii kwa kuzingatia na kutetea haki na uhuru ulioko katika katiba na kuendelea kukabiliana naumaskini, maradhi na kutojua kusoma na kuandika mbali na kuimarisha maishaya raia wenzetu.

Tags Turkana Governors speech on Mashujaa day, Counties / General

Download

Social Media

loading...

Partners

Get In Touch

Kaya I/O,
Statehouse Road
Hillcrest Building, Next to Philippines Embassy
P.O. Box 76203 – 00508 Nairobi, Kenya

Social Media

loading...
loading...
Sign up with your email to get updates on data resources uploaded.